Shukran mkuukutoka dar mpaka sumbawanga ni Tshs 55,000/= apande New force/golden deer ndo the best, atafika usiku saa 7 mpk saa 8 kuna gest na lodge nyingi ni yeye na mfuko wake kuanzia elfu 10-30. Asubuhi yake atapanda hiace ya kwenda Matai(ndo ilipo halmashauri ya Kalambo) nauli Tshs 2,500/=stand mpk halmashauri sio mbali sana, amwombe msaada konda amshushe halmashauri" mazingira ya kawaida' maji na umeme upo ila inategemea atabaki hapo hapo halmashauri au watampangwa ktk vijiji/kata, gharama kuishi ni za kawaida na vyakula vya kujipikia ni bei cheee.
Ha ha ha ha wee lelo 1 kwamba anafika saa 7 au 8 usikukutoka dar mpaka sumbawanga ni Tshs 55,000/= apande New force/golden deer ndo the best, atafika usiku saa 7 mpk saa 8 kuna gest na lodge nyingi ni yeye na mfuko wake kuanzia elfu 10-30. Asubuhi yake atapanda hiace ya kwenda Matai(ndo ilipo halmashauri ya Kalambo) nauli Tshs 2,500/=stand mpk halmashauri sio mbali sana, amwombe msaada konda amshushe halmashauri" mazingira ya kawaida' maji na umeme upo ila inategemea atabaki hapo hapo halmashauri au watampangwa ktk vijiji/kata, gharama kuishi ni za kawaida na vyakula vya kujipikia ni bei cheee.
Na basi likichelewa kupita eneo la Laera, wanalala njiani, Tanzania yetu sote Mpekuzi Tanzania.Ha ha ha ha wee lelo 1 kwamba anafika saa 7 au 8 usiku
Anapita Mbeya, tunduma, sumbawanga then kalambo. Kalambo ni wilaya mpya iliyotokana na wilaya ya sumbawangaRoute yake ni ipi, gari linapta mikoa ipi?