Anayefahamu simu ya android yenye physical qwerty key lboard bongo

ndugufred

Senior Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
137
Reaction score
44
Nimegoogle nikaona zipo simu za android ambazo zina physical qwerty keyboard, lakin katika pita pita zangu madukani sijawah kutana nazo. Kama kama unaifaham simu yenye sifa hzo, ambayo inapatikana bongo em nijuze nikaitafute...hzi touch ni nzuri ila nakosea kosea sana, juzi imeniaibisha sana baada ya kumtext tusi mtu nnayemuheshimu. Nilidhan ntaizoea ila haizoeleki
 
Tafuta htc chacha,lg optimus, samsung galaxy M Pro, samsung galaxy Y Pro duos, htc status


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Tafuta htc chacha,lg optimus, samsung galaxy M Pro, samsung galaxy Y Pro duos, htc status


Sent from my iPad using JamiiForums


nadhani samsung ndio itakuwa rahisi kupata hapa bongo, hizi nimeshaziona hapa bongo

  • samsung galaxy M Pro
  • samsung galaxy Y Pro duos
 
mi nimetumia galaxy chat nafkiri ndio latest kwa qwerty ina jb though ina specs outdated.

kwa ushauri tu button nyingi za simu za android sio classic zinasumbua na hazipo confortable. na japo utatype kwa button ila navigation itabidi ufanye kwa touch vile vile.

unaweza jaribu simu za bb10 kuna q10 na q5 zina qwerty na zinasuport android apps. bb wapo vizuri kutengeneza classic qwerty buttons
 
Yeah tena navigation mi mwenyewe napendelea iwe kwa touch,maana kwa button nikiwa nabrowse itakuwa tabu,mi kero yangu ni kwenye kuandika kama msg hivi au whatsap.Thanx kwa mchango wako
 
nadhani samsung ndio itakuwa rahisi kupata hapa bongo, hizi nimeshaziona hapa bongo

  • samsung galaxy M Pro
  • samsung galaxy Y Pro duos
Yeah hzi ndo nazitafuta sema hzi ni ndogo sana kiuwezo,hakuna ambazo zina specs za kutosha zaid ya hizi.Nyingi nimeziona ila kwa bongo nimetafuta sijaziona
 

mkuu asante kwa kuni link hapa..
kwa comments nazo ziona, naanza kubadili mawazo.. nijichukulie to za touch lolz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…