Anayeelewa Diamond ni msanii wa muziki gani kwa sasa aje aniambie, naona kama anatapatapa

Nchi hiii maisha yanazidi kuwa magumu kwa sababu tunatumia hela nyingi kununua vifurushi tufatilie kiki na bifu za wasanii. Na ndo hatuachi tukiacha tunafanya nini viwonder hakuna:D
 
Unashabikia unatukana weee... wenzio wanaingiza pesa kupitia wewe mwanaume mzima. Kuna siku utakuja kujiona ulikuwa mpumbavu.
 
Teh teh teh teh teh teh teh!

Huyu jama amebaki anaangalia aimbe staili gani ili walau aendelee kubaki kwenye headline.

Muziki mtamu tuliouzoe kutoka kwa diamond miaka ya 2010, 2011, 2012,2013,2014, siyo kama miziki tunayoiona ikiimbwa na msanii huyu kwa sasa ni kama kapoteza mwelekeo.

Duuhhh! kwa hali hii muda si mrefu si kuuza karanga tu bali hata kukusanya taka kitamhusu
hiyo ndo maana ya mwanamzik ubaswich vyovvyote ndo maana unamuona anadum miaka na miaka
si unaon unavyoumia km watu wanakukata rinda
 
Back
Top Bottom