Anayedai mabilioni ya Dowans ni Rostam

Habari ya miaka minne iliyopita unatuletea leo,we mpuuzi.

Historia maana yake nini? Ni afadhali ya miaka minne je wewe uliyesoma ya miaka 2000 iliyopita na ukaiamini kuwa nabii Isa alikuwepo na Mtume Mohamed pia na mpka leo hivyo vitabu unavigwaya kati ya cha kwanza au cha pili mbona hujahoji? Historia husomwa kumufahamisha msomaji anakotoka alipo na anakoelekea mwandishi alikusudia kukufahamisha hujuma iliyofanywa na Lowasa kwa kushirikiana na Rostam Aziz ambaye pia ndiye anashirikiana naye kwenye Ukawa.
 
Hilo deal lao wote halafu wanatudanganya ohhh wanamsingizia. Danganyaneni enyi maroboti yake ya kunsemea humu.
 
Pia katika majuha waandamizi nawe umo, kwa maana unatuthibitishia kuwa ni Lowassa aliyemuweka madarakani Kikwete, akipenda CCM lazima uwe punguani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…