Anaweza kuwa shahidi wa Siri?

Lazima tu wengi wao wanatoka Chadema maslahi. Na hapa ndipo utakapo amini kwa miaka mingi tulikuwa tunadanganywa na hawa wanasiasa wetu wachumia tumbo. Ahueni Lissu na timu yake wamekuja kuwaumbua.
 
John Mrema ni wa uhakika, hakuna mtu aliumia kama yeye kwa Mbowe kulambishwa mchanga kwenye uenyekiti. Anaweza kutumika kwa lolote dhidi y cdm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…