Anaweza kusomea nini kwa ufaulu huu?

Anaweza kusomea nini kwa ufaulu huu?

Crif Said

Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
9
Reaction score
0
Kuna mwanafunzi ame graduate form four na kupata ufaulu wa division iv ya point 26. Chemistry D, Biology C, Geography D, English C, History D, Civics D, Kiswahili D, Math F.
Je kwa upande wa health and allied sciences anaweza kusomea nini?
msaada tafadhali wakuu.
 
Kosa la kwanza kuiacha physics
Kosa la pili kupata F ya hesabu

Aangalie fani za kilimo
Kwa afya labda midwfery,community health na health records
 
Shukran sana mkuu.
Vip kwa ufaulu huo unashauri afanyeje?
kama ni mwanaume mpeleke ufundi , kama magari ukimpeleka vyuo kama donbosco itakua poa ufundi umegawanyika fuatilia , kama ni m/ke muulize yeye anapenda nini ,
 
Back
Top Bottom