Mdogo wangu amepata civ - 'E' hist - 'E' geo - 'E' kisw - 'C' engl - 'D' chem - 'D' bio - 'D' b/math - 'F'. Nataka akasome certificate yeyote ya business kati ya vyuo hivi 2; ita ya mwenge na cbe. Wadau naomba kufahau kama anaweza kupata nafasi.
Msaada tafadhali
asanteni sana
Msaada tafadhali
asanteni sana