Anawaza nini huyu?

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
3,844
Reaction score
6,470
Japo alijua anaenda kusulubiwa ila hakua serious kiasi hiki..nikitazama nyuma ya jamaa sijui wale ndio akina maria magdalena? Nimeishia kicheka sana..bado bongo mavi kuiga!
 
Najaribu kuelewa ujumbe utuleteao lakini sipati mwangaza...
 
Kufanya maigizo ya kishetani lazima kichwa kichanganyikiwe
 
Umesema bongo nini vile ni lazima waige???? aisee umenichekesha sana!!
 
Kwa mi naona tafauti sana ni bora wangempata shombee wa kidhungu kuliko huyo na hasa hizo nyeli za kihindi walizombandika huyo mswahili mwenzetu ni NOMA sana
 
Sasa kwanini kavaaa wigi, kwani nani alimwambia yesu alikuwa na nywele ndefu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…