Anauza nyumba mpyaa 70m tu

Anauza nyumba mpyaa 70m tu

Tuko pamoja mkuu, habari za majukumu ya ujenzi wa Taifa lisilo na mtandao wa kununua LUKU?
Jana nimesikia wahusika wanasema kuwa watalishughulikia haraka ipasavyo lakini hawakugusia suala la fidia kwa waathirika wa tatizo hilo......inasikitisha sana.......
 
Jana nimesikia wahusika wanasema kuwa watalishughulikia haraka ipasavyo lakini hawakugusia suala la fidia kwa waathirika wa tatizo hilo......inasikitisha sana.......
Mkuu Tanesco hii wakilipa fidia mimi natangaza kuwania Urais Marekani.
 
Kweli mkuu......sitashangaa kusikia wamepandisha gharama za umeme ili kufidia hasara waliyoipata wao.......
Hilo linawezekana na wala sitashangaa kwa jinsi akili zao zilivyo. Kwanza ningetegemea Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco angekuwa ameshawajibika mpaka kufikia sasa lakini wapo kimya kama hakuna kilichotokea.
 
Jinsi picha zilivyopigwa kunaashiria mpigaji anajifunza upigaji picha au kuna kitu kinafichwa, maana sioni sababu ya kuficha muonekano dhahiri wa biashara hiyo ndani na nje.
Sio anajifunza mkuu, mpiga picha anapiga picha kiwiziwizi kwa kujifichaficha, kitapelitapeli ndiomaana hajaweza kutoa maelezo yanayojitosheleza kibiashara
 
Sio anajifunza mkuu, mpiga picha anapiga picha kiwiziwizi kwa kujifichaficha, kitapelitapeli ndiomaana hajaweza kutoa maelezo yanayojitosheleza kibiashara
Hapo ndipo palinipa shaka kidogo, atakayejitosa hapo ndiye atakayefaidi yaliyomo.
 
Habari za hiyo nyumba zinatisha kama ni kweli..eti kuna viumbe wa ajaabu huko..hakuna umeme lakini usiku taa zinawaka na sauti zinasikika.Mlinzi aliondoka kutokana na hasara ya chakula..debe la unga akitumia kwa siku tatu anapika chakula kingi lakini hashibi.
 
Na bado tutasikia mengi ingawa mleta uzi alijaribu kuficha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom