NAMTUMBA
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,939
- 600
1'2 up to 70 mil? Acha mwanaumewaitwe mwanaume
mbona siyo nyumba ya gharama hiyo
Nyumba ipo kitunda mwanagati. Ina Residential License. Bei tsh.70m. Maongezi yapo. Contact zake: 0714259674
Ndani kasema finishing ya maana bado lakini pia kununua si lazima ukaone physical, huwezi nunua bila kuona mkuu.Jinsi picha zilivyopigwa kunaashiria mpigaji anajifunza upigaji picha au kuna kitu kinafichwa, maana sioni sababu ya kuficha muonekano dhahiri wa biashara hiyo ndani na nje.
Give specification of the house!
Jinsi picha zilivyopigwa kunaashiria mpigaji anajifunza upigaji picha au kuna kitu kinafichwa, maana sioni sababu ya kuficha muonekano dhahiri wa biashara hiyo ndani na nje.
Ingekuwa mbezi beach ningenunua...
Kwa bei hiyo ni kiwanja tu.Ingekuwa mbezi beach ningenunua...
Hayuko siriasi...anataka upige simu halafu upoteze muda kwenda hadi nyumba ilipo..
Nimetania tu ndugu yangu.....ubavu huo ninao basi....bado tunajificha kwenye mabanda ya watu........Kwa bei hiyo ni kiwanja tu.