Aaaaaaha!! Si ndo maana nauliza tumeletwa wapi huku!? Maana kule kwenye sredi niliwahi kiti niwe wa kwanza sasa hivi hata sijielewi Niko namba ngapi!? Lol!
Aaaaaaha!! Si ndo maana nauliza tumeletwa wapi huku!? Maana kule kwenye sredi niliwahi kiti niwe wa kwanza sasa hivi hata sijielewi Niko namba ngapi!? Lol!
Its not for bad intention..they did it for love...... Wanataka waunganishe Uzi ili watu wayapate matilio kwa urahisi watakapoyahitaji for future usage.
Its all gud, ukiona hivi ujue your thread is the trend and cross cutting.