Anataka tuwe marafiki

Anataka tuwe marafiki

deibra

Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
74
Reaction score
35
Habari zenu wanamember naombeni ushauri wenu...Niko kenya nasomaa chuo mwaka wa pili kwasasa kuna msichana nimetokeaa kumpendaa hii hali imekujaa baaada ya kuwa na ukaribu naye Sana'a....ikanibidi nifunguke hisia zangu zangu juu yake nikamuelezeaa kwamba nahitaji kuwa nae katikaa mahusiano....ila alichoniambiaa kwasasa haitowezekana kwasababu ataki kuchanganya mapenzi na masomo... Na chengine tuko katika course mojaa so hatowezaa kuwa na umakini katika masomo...akaniombaa tuwe marafiki tu kwasababu anajisiki huru na anapendaa kampani yangu...lakin mie ndo nishampendaa guys...
 
Ww komaa Ila angalia ucje ukafeli au ukapata GPA ndogo kwa kumuwaza huyo kimanzi.
 
Habari zenu wanamember naombeni ushauri wenu...Niko kenya nasomaa chuo mwaka wa pili kwasasa kuna msichana nimetokeaa kumpendaa hii hali imekujaa baaada ya kuwa na ukaribu naye Sana'a....ikanibidi nifunguke hisia zangu zangu juu yake nikamuelezeaa kwamba nahitaji kuwa nae katikaa mahusiano....ila alichoniambiaa kwasasa haitowezekana kwasababu ataki kuchanganya mapenzi na masomo... Na chengine tuko katika course mojaa so hatowezaa kuwa na umakini katika masomo...akaniombaa tuwe marafiki tu kwasababu anajisiki huru na anapendaa kampani yangu...lakin mie ndo nishampendaa guys...
na wewe upo chuo?
 
Zamani mwana chuo ndoalikua mshauri mkuu wakijiji akirudi likizo.....lakini sasa hao wana chuo wa siku hizi ni pumba kabisa hatakutatua issue ndogo mpaka aulize elimu imeshuka kweli kweli
 
Kwanza kabisa kama upo university level, it means your mature enough na huwezi kushindwa ku perform vyema katika masomo kwa sababu tu upo kwenye mahusiano ya mapenzi labda kama utakuwa BOGAZI kweli kweli. 100%. hapo ulipo wewe ni mtu mzima unauwezo wa ku handle majukumu au mambo zaidi ya moja kwa wakati mmoja ndo maana ya university mzee baba.
Pili, huyo mdada hadi hapo ameshakubali wewe umvue nguo anachosubiria tu ni wewe kuwa KING'ANG.ANIZI tu. hawezi kukubali kwa kusema ndiyo nimekubalikirahisi hivyo japo ni kampani yake.
uNACHOTAKIWA KUFANYA SASA=Mpe out yaani mtoe nje ya mazingira ya shule kila j2 kulingana na ratiba za shule zilivyo, piga story za kuteka mawazo & akili yake,( capture her fore-brain) mwonyeshee U-GENTLEMEN kuwa wewe ndo mwanaume unaemfaa kwa sasa. Kisha mwache kwa muda kwa kumjengea mazingira ya kukumic wakati huo matendo yako kwake yatakuwa yameshahamia ubongo wa nyuma (medulla oblangata) hapo utakuwa mwendo wa kukumic & kukuwaza & kukutafuta yeye mwenyewe kwa sababu ana akili ya kishule kwa % kubwa.. Na hapo utapiga mzigo mzee baba.kama utakuwa mjanja lakini
 
Kubali kuwa rafiki yake na usipunguze wala kuzidisha kitu kwenye urafiki wenu. Anzisha urafiki na msichana mwengine utaona majibu yake.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Habari zenu wanamember naombeni ushauri wenu...Niko kenya nasomaa chuo mwaka wa pili kwasasa kuna msichana nimetokeaa kumpendaa hii hali imekujaa baaada ya kuwa na ukaribu naye Sana'a....ikanibidi nifunguke hisia zangu zangu juu yake nikamuelezeaa kwamba nahitaji kuwa nae katikaa mahusiano....ila alichoniambiaa kwasasa haitowezekana kwasababu ataki kuchanganya mapenzi na masomo... Na chengine tuko katika course mojaa so hatowezaa kuwa na umakini katika masomo...akaniombaa tuwe marafiki tu kwasababu anajisiki huru na anapendaa kampani yangu...lakin mie ndo nishampendaa guys...
na wewe upo chuo?
Zamani mwana chuo ndoalikua mshauri mkuu wakijiji akirudi likizo.....lakini sasa hao wana chuo wa siku hizi ni pumba kabisa hatakutatua issue ndogo mpaka aulize elimu imeshuka kweli kweli
Nimejikuta nacheka tu pekee, ila ukweli ndiyo huu umepatikana kwenye comments mbili tu.
 
Kwanza kabisa kama upo university level, it means your mature enough na huwezi kushindwa ku perform vyema katika masomo kwa sababu tu upo kwenye mahusiano ya mapenzi labda kama utakuwa BOGAZI kweli kweli. 100%. hapo ulipo wewe ni mtu mzima unauwezo wa ku handle majukumu au mambo zaidi ya moja kwa wakati mmoja ndo maana ya university mzee baba.
Pili, huyo mdada hadi hapo ameshakubali wewe umvue nguo anachosubiria tu ni wewe kuwa KING'ANG.ANIZI tu. hawezi kukubali kwa kusema ndiyo nimekubalikirahisi hivyo japo ni kampani yake.
uNACHOTAKIWA KUFANYA SASA=Mpe out yaani mtoe nje ya mazingira ya shule kila j2 kulingana na ratiba za shule zilivyo, piga story za kuteka mawazo & akili yake,( capture her fore-brain) mwonyeshee U-GENTLEMEN kuwa wewe ndo mwanaume unaemfaa kwa sasa. Kisha mwache kwa muda kwa kumjengea mazingira ya kukumic wakati huo matendo yako kwake yatakuwa yameshahamia ubongo wa nyuma (medulla oblangata) hapo utakuwa mwendo wa kukumic & kukuwaza & kukutafuta yeye mwenyewe kwa sababu ana akili ya kishule kwa % kubwa.. Na hapo utapiga mzigo mzee baba.kama utakuwa mjanja lakini
unajua kuna ufundi nlijua naujua mimi tu..kumbe tuko wengi..hii staili ndo itumie kutoa friend zone...na nyingine inaitwa future projection..walah wiki mbili nyingi unamla
 
Hako kademu ni Kakikuyu, Kaluo, Kakamba ama...?

Kama ni Kakikuyu achana nako...
 
Mkishapata mkopo mnataka kujifanya mnajua mapenzi kama pimbi.

Soma kwanza wewe
 
Kusoma huwa ni darasa la kwanza hadi la saba, kidato cha kwanza hadi cha nne na kidato cha tano ahadi cha sita.
Ngazi ya chuo huwa ni kuchukua ujuzi wa mambo tu. ndo maana wako chuo huku wanafanyakazi, wanafamilia, wameoa au kuolewa, na wanasomesha, wanafanya au kutekeleza majukumu mengine ya kijamii zaidi. acha kijana achukue jimbo
 
Hao wanaofanya kazi wakienda chuo kikuu kazini wanaagaje?

Back
Top Bottom