Anataka nyumba yake anadai simpendi

Neyl naomba nifaham kabila lako kabla cjakushauri.. Hata kwa PM..
 
mwambie asikuzingue yeye sie aliyekupa nyumba, tena mwambie ashukuru hujampeleka ustawi wa jamii
 
aisee,hakuna kitu napenda kama kuwa na watoto mapacha. Namuomba Mungu kila siku i wish kuja kuwapata.

njoo oa kwetu, baba angu alizaliwa mapacha nayeye akazaa mapacha me nina pacha wangu wa kiume na wadogo zetu mapacha
 

Huyo bado ni mmewe kwa maelezo yako inaonyesha bado ndoa yenu haijavunjika.
Hata hiyo nyumba unayoisema si umepewa na wakwe zako? Kiukweli au kisheria bado we ni mke wa mtu na hutakaa ukaolewa tena ila kama we ni mzaramu sitashangaa.
Tambua kuna ndoa za aina nne zinazotambuliwa kisheria.
1.Kiisilamu, 2.kikristo, 3.kimila 4.kiserikali


 
he is not my husband anymore, mimi ni mmasai ndoa tuliyofunga ni kimila yan alitoa mahari kwetu nikakabidhiwa kwao na mama ake akanivisha chuma flan yan siruhusiwi kuwa na mwanaume mwingne mpaka wazee wanivue hiyo chuma after yeye kunikata tukawekwa kikao cha familia ila yeye aling'ang'ana hanitaki hanipendi tena ndipo wazazi wake wakanivua chuma na kuvunja rasmi ndoa yetu na hyo nyumba walinpa cause nina watoto watatu sasa ningeishi nao wapi?
 
me ni mmasai kwa mama mmbulu and my x was mmasai pure


nawaonea huruma watoto... Wanaandaliwa kuja lisha Ng'ombe.. Ndo maana wazazi wamekung'ang'ania.. Pole sana.. If i were u..!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…