khee!haya ndo yanayoposytiwa humu siku mbili tatu hizi !eti Kongosho walahi sianzi kujilaumu kwa kukaa mabwe!loh!kumbe simiss kitu ehe!konnie hebu nielekeze kwenye mambo yetu yale nahisi kubanwa pumzi mie!lol!
mwe kesho ifike haraka jamani loh!Bwana tunakumiss wenzio ujue. Soon shule zinafunguliwa, wale waskonga wote watapungua, si unajua shuleni hawaruhusu simu.
Mzima lkn?
mwe kesho ifike haraka jamani loh!
mimi sasa nawamisije sasa!?we acha tu!naanza kazi kesho mwaya so nitakuwepo hewani muda mwingi!
hebu nielekeze kwenye machallenge ya ukweli ya kimaisha hizi otea otea hizi waweza jikuta umepigwa ban bure na utu uzima huu!mwe!mwanetu anaendeleaje na shule lakini?ushazoea kummiss kidogo i hope?
yaah!mwaya usiwaze sana baki ukimwombea !he is a strong mana i believe!kama mama yake !Anaenda shuleni leo jioni, nimemsije; maana alikuwa ananitandikia na kunishushia net kila usiku kabla ya kupewa mabusu matatu ya goodnite. Acha kupikiwa dagaa na kutengenezewa juice, yaani we acha tu.
Anyway, I will live!
yaah!mwaya usiwaze sana baki ukimwombea !he is a strong mana i believe!kama mama yake !
na wewe utakuwa poa tu with time!
muache akasome ajifunze maisha mengine zaidi ya kumtengenezea mommy juice na kumshushia neti plus kumpa kiss tatu(he makes yu a spoilt brat mum enh)how sweet!)
jikaze !mpe neno la kuondokea akumbuke how brave yu believe he will live regardless yuko shuleni!
thn make hima juice na mpe those three kisses(his turn lol)muage !