akizidi kukusumbua mpe namba yangu...mwambie mie kaka yako, si unayo bado au uliifuta??
kashakuona kipoozeo,joto bongo limezidi sasa anataka kuja poaaza kidogo
akizidi kukusumbua mpe namba yangu...mwambie mie kaka yako, si unayo bado au uliifuta??
haaaa kweli jamani, utakuwa wewe ndo picha/pacha wangu. aliniambia baba siku moja kwamba sie tukoo wawili....aaaha naskia raaahaaaaaEh best naona majina yetu yanafanana kidogo! halafu niliwahi ambiwa nina ndugu/pacha Unaweza kuwa wewe nini?? I'm dying to meet with him/her
Akija mdanganye mwambie "mvua zinanyesha" ili asiweze kulamba asali....iotherwise kuwa muwazi kwake, if you still feel da game, mjulishe aachane na masharti kama ya mganga wa kienyeji. Pole
Shosti kwa hiyo nimwambie asije kabisa eti eeh
msubiri aje, then panga safari, funga nyumba ondoka. Then zima simu kama unayo ya kichina ( simu) nenda kwene call setting kuna huduma ya ku-blacklist, yaani yeye tu ndo hakupati... ahaaa tutaongea baadae banasijaifuta bado, ntamtumia
My dear,you are simply a back up plan,not a priority,please please value yourself and show him you worth what he can not afford to give you.....even if he gives you the best game ever,for once show him,the world does not revolve around him and he can donate his sperms somewhere else to those who are cheap which on my view he deserve them..............aaaaaaaaaaaaaah men again!
Mmh basi amuonee tu huruma....sasa tusemeje kumbe!! Maana hapa mtashauri nyie weeeee, baaadae anaenda kutusemea, wanawake hawa banaMvua zinyeshe wiki nzima? Na anaujua udhaifu wa mtoa mada hapa, lazima atapewa bado tu!
huyo anataka kukutumia tu..achana naye,subiri atokee atakeyekupenda zaidi,...mwonyeshe msimamo na wewe,hutaki kuwa naye zaidi ya kuwa marafiki tu!...ila na wewe kwa nini ulikubali aje kukaa kwako kwa muda wa week???alivyokuambia hivyo ungemkatalia hapo hapo!