Anataka nimuoe.

Mussa waukweli.

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
534
Reaction score
319
Hi wana jf nina mpenzi wangu ambaye niko nae mbali kidogo na nyumban kwao, yeye bado anasoma lakini mimi sisomi huwa tunakutana mara kwa mara tunapiga story za hapa na pale, niko nae katika mahusiano huu ni mwaka wa kwanza, lakini kitu kilichonifanya hadi kufika kwenu wana jf huyu binti ameniambia nimuoe na kitu ambacho kinamfanya hadi kufika hatua ya kusema hvyo enti wazazi wake wanamzengua, na kama nikichelewa atatoroka nyumbani
Jaman wana jf naomben ushaur wenu nifanyaje na huku bado ni mwanafunzi.
 
Wewe pia bado unakaa kwenu?I mean haujaanza maisha yako binafsi bado unategemea wazazi?
 
Hi yeye bado anasoma lakini uwa tunakutana mara kwa mara tunapiga story za hapa na pale, niko nae katika mahusiano huu ni mwaka wa kwanza, lakini kitu kf huyu binti ameniambia nimuoe na na kama nikichelewa atatoroka n.

yeye bado anasoma yuko la saba sekondari au chuo
huwa mnakutana mnakutana kugegedana au kupiga stori za hapa na pale
afu ndo kwanza mko mwaka wa kwanza kwenye mahusiano huyo binti hana cha kutoroka hizo ndo akili za baadhi ya tusichana hasa tunatosoma siku hizi.
 
huyo ana kasoro zake binafsi
mchunguze thn utaniambia
mwaka mmoja aolewe ilhali bado dent!
we mwambie toroka tu bby, uone kama atatoroka!
hahaaa!

 
hebu tuambie anasoma level gani ili tuweze kukushauri kulingana na akili yake. Usikute kiform 3 au kiprimary then kinakuambia kinatoroka ukaanza kuhaha. inawezekana masomo yanamsoma yeye so anataka kupunguza idadi ya 0. Ila ndugu yangu usiingie kichwakichwa kuoa mtu ambaye humjui. Mwaka ni kidogo sana isitoshe hujamjua. Pia chunguza wazazi wake wanamzingua kwa sababu gani usikute yeye ndo mkorofi. Gunia la misumari hilo kaka.
 
Makubwaa....!mwaka kuoa mdogo ila kugegedana a.k.a yangu yakoo mnaona raha.
 
We Musa wa ukweli hebu rudi tena utuambie huyo demu wako ni mwanafunzi wa primary, secondar au chuo? Coz ucje ukajikatia RB mwenyewe.
 
Watoto mko bize na vizalishio vyenu siku hizi
 
..wazazi wake wanamzengua juu ya nini.!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…