samwel mahera
Member
- Aug 26, 2019
- 7
- 4
Jamani nisaidieni hili kuna binti anataka nimuoe wakati mi nipo tayari kwenye ndoa,nlipo mwambia nmeoa kaniambia nmwache mwanamke wangu nmuoe yeye,abadai ananipenda sana kinacho nichanyanga sana nmekua nae yaani nlimheshmu kama Dada yangu,naweza sema namjua zaidi hata kuliko mke wangu mana toka utoto namjua,nifanye nini au nimwache mke wangu ili nimuoe yeye??