gentleman92
Member
- Apr 26, 2019
- 17
- 13
Ni kabila gani huyo mwenzako?atakuwa wa Kaskazini tu!!!habari za majukumu wapendwa
naitwa joseph ni mfanyakazi niko katika mahusiano na mfanyakazi mwenzangu na wote tunapata mshahara ,
anapopatwa na tatizo huwa ananiomba msaada either wa mawazo na hata pesa nampatia
ila mimi ninapopatwa na tatizo hana msaada wowote zaid ya pole tu , hata kama ni tatizo la kipesa hawez nisaidia
je kwa nn kina dada wengi huwa ni wagumu kusaidia wenza wao
na je huyu ni mwanamke sahihi kwangu
Imeandikwa....habari za majukumu wapendwa
naitwa joseph ni mfanyakazi niko katika mahusiano na mfanyakazi mwenzangu na wote tunapata mshahara ,
anapopatwa na tatizo huwa ananiomba msaada either wa mawazo na hata pesa nampatia
ila mimi ninapopatwa na tatizo hana msaada wowote zaid ya pole tu , hata kama ni tatizo la kipesa hawez nisaidia
je kwa nn kina dada wengi huwa ni wagumu kusaidia wenza wao
na je huyu ni mwanamke sahihi kwangu
Mchane live halafu mtemee.habari za majukumu wapendwa
naitwa joseph ni mfanyakazi niko katika mahusiano na mfanyakazi mwenzangu na wote tunapata mshahara ,
anapopatwa na tatizo huwa ananiomba msaada either wa mawazo na hata pesa nampatia
ila mimi ninapopatwa na tatizo hana msaada wowote zaid ya pole tu , hata kama ni tatizo la kipesa hawez nisaidia
je kwa nn kina dada wengi huwa ni wagumu kusaidia wenza wao
na je huyu ni mwanamke sahihi kwangu
Hii tabia waliyo nayo kina dada baadhi yao ni mbaya sanaaa.... Kina dada baadhi yao inabidi wajifunze hili kuwa inawapunguzia uthamani wao hasa kwa wapenzi wao....habari za majukumu wapendwa