Mafweza ze don
Senior Member
- Feb 9, 2013
- 148
- 182
habari zenuu wakuu Masaada wenu wa mawazoo nauhitaji xanaa Mimi ninampenzi wanguu sasa kila ikitokea tofauti anataka nilie ndo ajue nampendaa sasa nashindwa kuelewa ni kwangu tu aundo kawaida kwa mtu mwenye malengo nae??!
nahitaji msaada wenuu...
we ni ke au me?
hahahaha! itondoo!
Habari zenu wakuu, msaada wenu wa mawazoo nauhitaji sana. Mimi nina mpenzi wangu, sasa kila ikitokea tofauti anataka nilie ndo ajue nampenda. Sasa nashindwa kuelewa ni kwangu tu au ndio kawaida kwa mtu mwenye malengo nae?
Nahitaji msaada wenu.