heeeh!!!! mwanaume analilia kuuza sura instr. kwel kazi ipo. wanawake wenyewe wanaotupia picha kule mi naonaga kama hawana kazi zakufanya vile.
heeeh!!!! mwanaume analilia kuuza sura instr. kwel kazi ipo. wanawake wenyewe wanaotupia picha kule mi naonaga kama hawana kazi zakufanya vile.
Yaan wewe una mawazo kama Mimi, yaan huwa najiuliza inakuwaje mtu anaweka picha inst tena kwa siku hata kumi zinafika
kwani kitendo cha kuweka picha kinachukua muda gani?masaa mangapi?Yaan wewe una mawazo kama Mimi, yaan huwa najiuliza inakuwaje mtu anaweka picha inst tena kwa siku hata kumi zinafika