Anataka kuvujisha video ya ngono

Pia akumbuke kama jamaa alijitoa nafsi kumpa mkewe na kumlipia lodge, basi pia ajiandae kisaikolojia mana iwapo atavujisha kuna posibility ya kulipia kwa MARINDA
Avujishe tu...ila ajiandae na yatakayofuata...labda hiyo 15m atailipa yeye....au anaweza kulipia kwa damu yake. Mambo sio rahisi kama anavyodhani.
 
Mwambie habari zilizovuja zinasema kibosile pia amepanga kuvisha shanga atembezewe mshedede na si pack 6. Hiyo aliyopewa ilijuwa episode 1 namba 2 inakuja na hizo video clip atapigwa kwenye series ya 6 atapokea kitita cha 25mil asikadirie kidogo
 
Mwambie mm nimesema yy ni fala
 
Sababu hasa ya jamaa kumtoa sadaka mke wake ni nini?
Jamaa anatimiza masharti ya mganga wake?
Jamaa anataka mtoto na hana uwezo wa kuzalisha au totally haisimami?
 
Hajui aliyekuwa anamwambia ivyo ndiye aliyetunga Sheria ya mitandao
 
huyo jamaa soon atapotezwa kwa manati ya mzungu
 
Ndugai anasemaje kwani kuhusu bajeti ya dr. mpango ?
 
Huyo Jamaa mwenye Mke ana matatizo gani hadi kufikia hatua hiyo?
 
Waswahili wanasema ameibiwa nyota kwa kupenda mteremko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…