Anataka kusoma PCB, shule ya serikali Dar es salaam

Extroverted Introvert

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2022
Posts
1,081
Reaction score
2,798
Mdogo wangu amepata Division 1 ya point 16,,, physics C, chemistry B, biology B, mathematics C. Mwanzo alichaguliwa CBG kwenye shule ambayo haina PBC. Yeye anataka akasome PCB, tunajaribu kumtafutia shule ya serikali kwa hapa Dar es salaam.

Naomba msaada wa kuzijua shule za serikali zenyewe kombi ya PCB kwa Dar es salaam.
 
Mambo yangekua mepesi kiasi hicho wote tungesomea Dar.
 
Dogo jinsia gani? Azania pcb wanapiga.

Ila haya mambo ya advance ni kupoteza muda dogo angejaza form akaenda chuo moja kwa moja ni option safi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…