Anataka kusoma meseji zangu

Huyo kkuacha hawez kwan hajaona chochote we mwambie akuamn sms haikua na ubaya wowote
 
Mwanamke Uliyekubali kwa Moyo Wako kua nae yupo huru kukagua na kusoma Chochote katika Simu yako na Ikibidi Hata Kulala Mpe tu akalale nayo. Ukiamua kuwa na Mmoja katika maisha yako mfanye awe yeye tu.
 

nipo naangalia kwa mbaali, paulo Akiishia njiani natoa rushwa kwa Baba Mkwe Kaboom
 
Watu wengine hamjui hata kuchepuka..tumieni apps kama " audio manager" kuficha uchafu wenu
 
sasa na wewe kwanini ukumpa simu ili asome hiyo meseji?!
 
mods washughulikie mchakato wa jukwaa la watoto humu
 
acha umalaya sio sifa izo utakuja umuue mtoto wa watu bure
 
KAMA aliyekupigia n mchepuko mpe ukwel na kama alyekupigia n jambaz mwenzio mpe ukwel endapo unampenda kwel.NI AYO TU MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…