Anataka kusoma meseji zangu


Sumbai nakupenda bure aisee
 

Wewe ni mpumbavu
 

Sina cha kukwambia nini cha kufanya kwa sasa, ila nitakwambia nini cha kufanya in future, kama unampango wa kando mpe muda wa kukupigia, kama ni ngumu, unapokuwa faragha na mpenzio, weka simu yako mute, au weka kwenye flight mode, au weka program inayo zuia message kwenda inbox ziende kwenye folder tofauti amabalo si rahisi mtu mwingine kulipata kirahisi, mfano ukitumia call blocker alafu hiyo namba ya mpango wa kando ukaiweka kwenye blocklist, missing call yake haitaoneka wala sms zake hazitaonekana, utazitafuta baadaue kwenye mahali maalum.
 
shule zimefungwa na form four wamerudi nyumbani tutakoma
 
Ivi unanguvu nyingi sana zakuweza kumudu Uzinzi kiyasi hicho? nakuonea huruma sijui kama unajionea...
 
Tafuta msg nzuri kuliko zote toka kwa michepuko yako then muoneshe then mwambie hiyo ndo sababu hukutaka aione maana hakuna njia yeyote ataweza kukuamini unless ni msukuma tena Wa ndani ndani kule
Daah Imebidi nicheke tu, mbona kuleta utani na wasukuma wa huko ndani ndani
 
Brod darlin huu u-matchmaker nilijua umeshastaafu teh. Kumbe kipaji hakifagi eeh
Yani sis darling hii kitu ipo kwa damu asee. Nafurahi kuona watu wakipendana kwa dhati. Sio figisu na uongo mwingi.
BTW, sina sista katika bwana isipokuwa wewe..teh teh! Hembu Paulo afanye haraka....
 
Yani sis darling hii kitu ipo kwa damu asee. Nafurahi kuona watu wakipendana kwa dhati. Sio figisu na uongo mwingi.
BTW, sina sista katika bwana isipokuwa wewe..teh teh! Hembu Paulo afanye haraka....
Ahhahaha brod darling it's true ni raha sana kuona watu wanapendana kwa dhati and kuna muda unatamani Sana fulani na fulani wawe pamoja, but inategemea wahusika watalichukuliaje hilo afu wenye kakipaji ka kuunganisha watu mpo wachache.

Huyu Paulo huyu, leo Sitaki hata kumuongelea teh. Tutamdiscuss kwenye next mkesha[emoji12] [emoji12]
 
Nachukia watu wasiokuwa na haya kwa hiyo unatuletea upuuzi kama huu tukusifu kwa upuuzi wako unaouleta hapa au nini?. Mwanaume mjanja na anayetaka kufanikiwa hana muda wa kupoteza kuwa na wanawake lukuki...
Wewe ni muasherati na huna msimamo na daima hutakaa ufanikiwe maana unafanya mambo ya kitoto bado hujakuwa...kuna watu wanafanya umalaya halafu wanajileta humu tuwape ushauri gani kwa mfano...
Kwa vile ndio maisha uliochagua ya kupenda ngono endelea nayo ipo siku utaona manufaa yake...yan majitu ya hivi mimi nayaonaga kama hayajaenda shule, wachafu na watakufa maskini..
 

wewe si ni yule form two b unayeripiti mtihani wewe??
 

Yaani, inatia huruma.
 

👌👌👏👏👏👏
 
pitia hii link muhim jamiiforums.com - Earn from Your Home & Office, Earning website for Students, Job-less people
 
Hao wanawake unatumia nao kinga lakini....kadri wewe unavyowapanga na wenyewe wana majamaa wameyapanga
kuhusu meseji ungemwonesha tu ili ajue ukweli
 
Kuwa wazi tu...Mwambie zile zilikuwa msg toka kwa mpenzi wako mwingine.

Kumbuka ukweli utakuweka huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…