Anataka kusoma Masters ya Education

medyh99

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
210
Reaction score
235
Habari wana jamii.

Nauleta huu uzi kwenu kwa lengo la kupata maarifa zaidi. Ndugu wana jamii nina mdogo wangu anasoma degree ya bachelor of science with education.

Lakini kozi hii hakuridhika nayo na anataka kusoma hadi masters. Hivo kuliko kugharamika na ada nyingi za masters naomba kujua kuwa akimaliza masters anaweza kuwa nani na anapata kazi maeneo yapi.

Anachukua masomo ya physics na chemistry.
 
Huo atabaki kua mualimu wa sekondari na mshahara ni ule ule kama wa waalimu wa arts wanao anza kazi, kama atapata ajira lakini.
 
Huo atabaki kua mualimu wa sekondari na mshahara ni ule ule kama wa waalimu wa arts wanao anza kazi, kama atapata ajira lakini.
Asante kaka
 
Huo atabaki kua mualimu wa sekondari na mshahara ni ule ule kama wa waalimu wa arts wanao anza kazi, kama atapata ajira lakini.
Atamzidi mwalimu wa arts kiasi kidogo sana yeye basic salary atalipwa TSH 805,000/= wa arts 771,000/=
 
Kama gpa yake itakua nzuri 3.8 ajaribu kuomba zile kazi za lectures
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…