Duh!sifa namba 2 inanitupa mkono!Kwenu wanajamvi!
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Ni rafiki yangu sana, mdada ana miaka 36, ana watoto wawili, anatafuta mwanaume mwenye upendo na mapenzi ya kweli, upweke umemchosha. Yeye ana kazi yake nzuri tu, ana kausafiri kake na kamjengo kakujisitiri, so kimaisha yuko poa tu anachomisi ni mwanaume mwenye upendo na mapenzi ya kweli.
Sifa za anaetafutwa:
1. Awe mkristo mchanga Mungu na mwenye hofu ya Mungu
2. Awe tayari kupima VVU
3. Awe na mapenzi ya kweli na mwaminifu
4. Asiwe MUME WA MTU but kama anawatoto anakaribishwa
5. Asiwe mvuta sigara wala mlevi (bt anaweza kuwa anakunywa lkn sio kulewa talalila)
6. Awe mchapakazi/mtafutaji/mhangaikaji
7. Awe ni mwanaume kamili/lijali
Kwa mwanaume aliye serious ani-PM nami nitamuunganisha na mhusika
Nwasilisha!
Kwenu wanajamvi!

Asante sana sister!piga debe sifa namba 2 iondolewe ili na mimi niingie kwenye mchakato!Pole Tukutuku!
Kwenu wanajamvi!
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Ni rafiki yangu sana, mdada ana miaka 36, ana watoto wawili, anatafuta mwanaume mwenye upendo na mapenzi ya kweli, upweke umemchosha. Yeye ana kazi yake nzuri tu, ana kausafiri kake na kamjengo kakujisitiri, so kimaisha yuko poa tu anachomisi ni mwanaume mwenye upendo na mapenzi ya kweli.
Sifa za anaetafutwa:
1. Awe mkristo mchanga Mungu na mwenye hofu ya Mungu
2. Awe tayari kupima VVU
3. Awe na mapenzi ya kweli na mwaminifu
4. Asiwe MUME WA MTU but kama anawatoto anakaribishwa
5. Asiwe mvuta sigara wala mlevi (bt anaweza kuwa anakunywa lkn sio kulewa talalila)
6. Awe mchapakazi/mtafutaji/mhangaikaji
7. Awe ni mwanaume kamili/lijali
Kwa mwanaume aliye serious ani-PM nami nitamuunganisha na mhusika
Nwasilisha!
Anataka kuanzia miaka 36 - 42
Pao mamito
Utakuwa unaunganisha moja kwa moja au utakuwa unafanya screening kwanza kabla ya kupeleka?