Anatafutwa mtu aliyesomea ufugaji

Onesmo Kyauke

Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
67
Reaction score
119
Tunatafuta mtu aliyesomea ufagaji na hasa ufagaji wa nguruwe akafanye kazi katika shamba kubwa la nguruwe.

Sifa kubwa awe na diploma ya mifugo na awe tayari kufanya kazi Mkoa wa Pwani.

Kwa mawasiliano piga simu 0715 744518
 
vip mshahara bei gani???mim niko arusha lakin naweza kufanya kazi huko kifupi ni Vet Doctor
 
duh mimi niko interested na iyo kaz bt nina diploma ya general agriculture...... nipo mbeya
 
Tunatafuta mtu aliyesomea ufagaji na hasa ufagaji wa nguruwe akafanye kazi katika shamba kubwa la nguruwe.

Sifa kubwa awe na diploma ya mifugo na awe tayari kufanya kazi Mkoa wa Pwani.

Kwa mawasiliano piga simu 0715 744518

Mkuu, ulishampata mtu huyo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…