Umesomea chuo cha madrasa au chuo cha taaluma gani?Umri wangu nini miaka 40.
Elimu:chuo.
Anatafutwa mke Umri kuanzia 30-40
Awe na kipato kisichopungua 3.5 m kwa mwezi
Elimu form four na kuendelea.
Mkristo au awe tayari kubadili dini
Mwenye upendo.
Msikivu
First come first saved
Mimi najitegemea na nina maisha yangu binafsi. Naamini tukichanganya kipato chake na changu tutafika mbali.
Hahaha unifurahisha nai swali lakoUmesomea chuo cha madrasa au chuo cha taaluma gani?
m 3 kwa mwezi kweli?Siku hizi kila ID iliyompya Thread yake ya kwanza "natafuta mke" na mwingine akasema "anahitaji demu"
..
Kupata Mke/Mchumba humu ndani ilikuwa ni Jamiiforums ya miaka ya 2006 hadi 2012 lakini sio hii ya leo.
Kabisa yaaan!mwanaume unaangalia kipato cha mwanamke ndo uoe? unajua wajibu wa mke kweli wewe? hata wajibu wako naona huutambui.ndo maana upo miaka 40 huna mke na nishakujua maana kuja jamaaa hapa jirani anammendea boss wangu mmoja kiasa ana hela hataki wanawake wengine eti sio level zake.sasa kwa taarifa yako huyu dada akutaki na pamoja ana hela kila siku unaishia kuchunwa tu na anaenda kupewa serengeti.mwanamme mzima unashindwa kuwajibika unatafuta mwanamke mwenye hela? ukimpata je akifukuzwa hyo kazi utamuacha sio?
mwanaume unaangalia kipato cha mwanamke ndo uoe? unajua wajibu wa mke kweli wewe? hata wajibu wako naona huutambui.ndo maana upo miaka 40 huna mke na nishakujua maana kuja jamaaa hapa jirani anammendea boss wangu mmoja kiasa ana hela hataki wanawake wengine eti sio level zake.sasa kwa taarifa yako huyu dada akutaki na pamoja ana hela kila siku unaishia kuchunwa tu na anaenda kupewa serengeti.mwanamme mzima unashindwa kuwajibika unatafuta mwanamke mwenye hela? ukimpata je akifukuzwa hyo kazi utamuacha sio?