Salama ndugu zangu....nawashukuru nyote kwa mawazo na ushauri mzuri kwa suala langu, asanteni sana, nimepata mails kwa inbox za wanajamvi mbalimbali, asanteni sana. kwa sasa bado sijaweza kumpata ila nimepata taarifa kua yuko Musoma, so kwa sasa nafatilia huko na nategemea kutoa tangazo gazetini. Muhusika ni huyu katika attachment.