Karao JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 1,057 Reaction score 603 Oct 24, 2014 #21 Jamaa_Mbishi said: Mbona anaonekana kama mfugo wa wabunge na mawaziri wa CCM? #Msukule Click to expand... Pengine ndio wale waoishi darini !!!
Jamaa_Mbishi said: Mbona anaonekana kama mfugo wa wabunge na mawaziri wa CCM? #Msukule Click to expand... Pengine ndio wale waoishi darini !!!
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,751 Oct 24, 2014 #22 Anaonekana ni mgonjwa wa akili huyu, tusimfanye awe kituko. Wanadamu tuoneane huruma pale mmoja wetu akipatwa na matatizo, sio kumfanya kicheko.
Anaonekana ni mgonjwa wa akili huyu, tusimfanye awe kituko. Wanadamu tuoneane huruma pale mmoja wetu akipatwa na matatizo, sio kumfanya kicheko.
Karao JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 1,057 Reaction score 603 Oct 24, 2014 #23 Salamander said: Anaonekana ni mgonjwa wa akili huyu, tusimfanye awe kituko. Wanadamu tuoneane huruma pale mmoja wetu akipatwa na matatizo, sio kumfanya kicheko. Click to expand... Haha haha haha kipendacho roho best!
Salamander said: Anaonekana ni mgonjwa wa akili huyu, tusimfanye awe kituko. Wanadamu tuoneane huruma pale mmoja wetu akipatwa na matatizo, sio kumfanya kicheko. Click to expand... Haha haha haha kipendacho roho best!
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,185 Reaction score 7,367 Oct 24, 2014 #24 kijana15 said: Pengine ndio wale waoishi darini !!! Click to expand... Huyu anaonekana tu, na hiyo harufu yake hapa mtandaoni ni kama alitoroka Ikulu vile baada ya mshua kwenda China na wife. Ridhiwani mbona atakoma mze akirudi, yaani kuachiwa jukumu la kulisha tu yeye kaachilia moja kwa moja.
kijana15 said: Pengine ndio wale waoishi darini !!! Click to expand... Huyu anaonekana tu, na hiyo harufu yake hapa mtandaoni ni kama alitoroka Ikulu vile baada ya mshua kwenda China na wife. Ridhiwani mbona atakoma mze akirudi, yaani kuachiwa jukumu la kulisha tu yeye kaachilia moja kwa moja.
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,175 Reaction score 34,410 Oct 24, 2014 #25 Tumuogopeni Mungu wajameni na tuache kukosoa viumbe wake. Hatuna tulichompa Mungu ila katuepusha tu na kuwa hivi.
Tumuogopeni Mungu wajameni na tuache kukosoa viumbe wake. Hatuna tulichompa Mungu ila katuepusha tu na kuwa hivi.