Habari za majukumu ndugu.
Nina Rafiki yangu Ameniambia nitamfutie mke
Nimetafuta mtaani hapa Nimekosa Nimeamua kuleta Tangazo humu MMU.
Sifa za mwanamke
Elimu Darasa la saba mpaka form 4 asizidi Elimu zaidi ya hapo
Umri 25/28.
Dini Muislamu
Asiwe mwembamba sana wala kibonge sana.
Sifa za Mume.
Elimu ya Dini
Umri 25
Urefu wakawaida
Rangi ya ngozi maji ya kunde
Kazi mfanya biashara.
Kazaliwa Dar kakulia Dar
Ahsanteni.
Sent using
Jamii Forums mobile app