Kuna kaka anatafuta mchumba wa kike jaman umri kuanzia 30-35 umri wake ni miaka 45 naiman kuubwa humu jf atapata. Hakuna utani hapa namba yake. 0753655444.

Hapa penye red, nimefurahishwa na jinsi ulivyokuwa specific kwenye maelezo, Kaka anatafuta mchumba wa kike, ana hofu nini ya kupata mchumba wa kiume??!

Mbona umetoa sifa kidogo tuu ebu weka picha yako tukuone kwanza halafu mwaga misifa yako tujue wewe ni mjuzi wa nini au wa mambo gani mtu wawapi unataka mke tuu....huna dini kabila wala unachopenda.