Sophia bavuma
Member
- Jan 12, 2012
- 66
- 6
- Thread starter
-
- #21
Huyu mdada mbona ana jeuri
kama kondoo dume! sasa kama ukimpata huyo mfanyakazi wa ndani utamlipa
nini wakati mwenyewe huna kazi? nyambafu kauzu.
nashukuru bora ww unaye nipamoyojipe moyo kaz utpata
Huyu mdada mbona ana jeuri
kama kondoo dume! sasa kama ukimpata huyo mfanyakazi wa ndani utamlipa
nini wakati mwenyewe huna kazi? nyambafu kauzu.
mimi mwenywe ni binti bali nimepata watoto mapemaKaza buti utapata ila hum ndani wanataka mabinti the way i saw mmmh ni balaa xana
hata ukiandika umri,tarhe ya kuzaliwa watu awanbusara humu jf kama ni watoto vile kama unajiona unachakusaidia usiandike upuuzi utojua mwezako amekaa kacha vitu vingapi kuomba msaada kwenu.Eleza mahali ulipo au kazi ikipatikana mwanza utaenda maana ujasema uko mji gani?