vita kubwa
Member
- May 1, 2018
- 8
- 2
Ninaye Ndugu yangu ana miaka 26 Elimu yake ni kidato cha nne ni kijana mwenye Maadili sana Kwa kuwa ni mlokole
Kutokana na hali ngumu iliyopo kwa sasa anahitaji kazi yoyote ya kujikimu hata kama itakuwa Kuuza Chips,Duka,Pia ana utaalamu na Mambo ya ujenzi japo hana vyeti
kwa yeyote mwenye kazi yoyote Amsaidie ndugu yangu Kwa kuwa mm nimeshindwa kumsaidia kwa Sababu mm kwa Sasa sina kipato chochota
Msaada wako unahitajika
Yupo tayari kaka kuifanya hiyo kaziKuna nafasi kama 20 kariakoo fursa kwa vijana wa kike na wa kiume. Kazi kubwa ni kusambaza chakula kwa wateja wa mgahawa kwenye maeneo ya biashara zao.
Mshahara wa kuanzia ni 120,000. Anaingia saa 12.00 asubuhi na anatoka saa 10. 00 jioni.
Nauli ya kwenda kariakooo na kurudi atajitegemea. Atapewa chakula cha asubuhi na mchana.
Je, ataweza ?
Nimeku PMKuna nafasi kama 20 kariakoo fur8sa kwa vijana wa kike na wa kiume. Kazi kubwa ni kusambaza chakula kwa wateja wa mgahawa kwenye maeneo ya biashara zao.
Mshahara wa kuanzia ni 120,000. Anaingia saa 12.00 asubuhi na anatoka saa 10. 00 jioni.
Nauli ya kwenda kariakooo na kurudi atajitegemea. Atapewa chakula cha asubuhi na mchana.
Je, ataweza ?
Watanzania tukiwa hivi na imani miaka ijayo nchi itafika mbali sana hongera sana... Ndugu mpe kazi kijanaYupo tayari kaka kuifanya hiyo kazi
Kuna nafasi kama 20 kariakoo fursa kwa vijana wa kike na wa kiume. Kazi kubwa ni kusambaza chakula kwa wateja wa mgahawa kwenye maeneo ya biashara zao.
Mshahara wa kuanzia ni 120,000. Anaingia saa 12.00 asubuhi na anatoka saa 10. 00 jioni.
Nauli ya kwenda kariakooo na kurudi atajitegemea. Atapewa chakula cha asubuhi na mchana.
Je, ataweza ?
Mawasiliano yangu haya hapa 0659340324 nitampeleka, better ukuje na wewe kama utakuwa na nafasi.Yupo tayari kaka kuifanya hiyo kazi
Nashukuru kaka nakutafuta sio mudaMpe
Mawasiliano yangu haya hapa 0659340324 nitampeleka, better ukuje na wewe kama utakuwa na nafasi.
Mpe
Mawasiliano yangu haya hapa 0659340324 nitampeleka, better ukuje na wewe kama utakuwa na nafasi.