Anatafuta kazi

Anatafuta kazi

miriam 11

Member
Joined
Jan 19, 2017
Posts
29
Reaction score
17
Habari ya wakati huu wanajukwaa
Nina kaka yangu (28)anatafuta Kazi
Ana diploma ya community development pia kasoma computer
Yupo dar es laam
Kazi inayoendana na elimu yake pia yoyote itakayopatikana anaweza kufanya ilimradi iwe halali

Natanguliza shukran zangu za dhati
Kwa mawasiliano zaid karibu pm
Asante
 
Hello hi, Its Plastic manufacturing Industry +255 682 399 991 call/text he/should be able to work either new established branches at Pwani or Morogoro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom