Maquiseone
Member
- Feb 24, 2008
- 40
- 1
Hey wajamvini,
Kuna kifaa kinatafuta kazi ktk plants za mining au Oil & Gas field. nje au ndani. Au recuitments au agents ambao ni trusted worldwide atawalipa ili wamfanyie kazi hiyo.
Foward details kwa e-mail address hii - ahsmaqu@yahoo.co.uk.
Thanx in advance.
nenda bul au north mara,vipi huko samaki nchanga pamekushinda.
Tehteh kumbe wewe, mambo vipi? Nadhani itakuwa wamemshinda vipi wakupatie?
Malila, jamaa kaangalia na kuona kuwa intetion yake kwa sasa ni kuwa trainer wa processing activities ktk gas & oil field au mineral processing field. Maana ktk mineral anaifahaamu vema CIL na Floatation vema sana na huku anaijua field yako ya Gas & oil processing vema sana.
So ameonelea kama aingie ktk fani ya on job trainer (Practical way of training) sijui niiteje ili unielewe au wanielewe hapa jamvini.