Reyna Senior Member Joined May 19, 2013 Posts 122 Reaction score 28 Mar 25, 2015 #1 Kuna msichana anatafuta kazi za ndani na ya kudumu. Yuko Mwanza na yuko tayari kwenda mkoa wowote Tanzania, Ana miaka 17, elimu std 7 ni Msukuma na dini yake ni Mkristu Mkatoliki. Reyna said: Keshapata kazi Click to expand...
Kuna msichana anatafuta kazi za ndani na ya kudumu. Yuko Mwanza na yuko tayari kwenda mkoa wowote Tanzania, Ana miaka 17, elimu std 7 ni Msukuma na dini yake ni Mkristu Mkatoliki. Reyna said: Keshapata kazi Click to expand...
C Criterion JF-Expert Member Joined Jan 8, 2008 Posts 11,797 Reaction score 11,899 Mar 25, 2015 #2 Toa wasifu wake angalau, Umri, Elimu, Uzoefu, Anataka kufanya kazi muda gani, kabila, dini, na kama ana mahitaji mengine muhimu kama si ya siri.
Toa wasifu wake angalau, Umri, Elimu, Uzoefu, Anataka kufanya kazi muda gani, kabila, dini, na kama ana mahitaji mengine muhimu kama si ya siri.
mama ivan Member Joined Mar 20, 2015 Posts 25 Reaction score 4 Mar 25, 2015 #3 Muulize yupo teyar kuja dar pia nipatie namba ya mtu wake wa karib
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,398 Mar 25, 2015 #4 Reyna said: Kuna msichana anatafuta kazi za ndani yuko Mwanza yuko tayari kwenda mkoa wowote tz Click to expand... Ana miaka mingapi? Alisha wahi kufanya kazi za ndani kabla? Dini gani? Yuko tayari kusafiri nje ya Tanzania? Yuko tayari kupima afya yake?
Reyna said: Kuna msichana anatafuta kazi za ndani yuko Mwanza yuko tayari kwenda mkoa wowote tz Click to expand... Ana miaka mingapi? Alisha wahi kufanya kazi za ndani kabla? Dini gani? Yuko tayari kusafiri nje ya Tanzania? Yuko tayari kupima afya yake?
Reyna Senior Member Joined May 19, 2013 Posts 122 Reaction score 28 Mar 25, 2015 Thread starter #5 Yuko tayari mimi ndo mtu wake wa karibu nipm namba yako uongee nae mama Ivan
Fundi mahiri wa Ujenzi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 5,035 Reaction score 4,418 Mar 25, 2015 #6 Reyna said: Yuko tayari mimi ndo mtu wake wa karibu nipm namba yako uongee nae mama Ivan Click to expand... 0655173113 nipigie
Reyna said: Yuko tayari mimi ndo mtu wake wa karibu nipm namba yako uongee nae mama Ivan Click to expand... 0655173113 nipigie
Reyna Senior Member Joined May 19, 2013 Posts 122 Reaction score 28 Mar 25, 2015 Thread starter #7 NIMPENDENANI said: Ana miaka mingapi? Alisha wahi kufanya kazi za ndani kabla? Dini gani? Yuko tayari kusafiri nje ya Tanzania? Yuko tayari kupima afya yake? Click to expand... kupima afya yuko tayari alishawah kufanya kaz ispokuwa nje ya nchi hawez hata kidogo
NIMPENDENANI said: Ana miaka mingapi? Alisha wahi kufanya kazi za ndani kabla? Dini gani? Yuko tayari kusafiri nje ya Tanzania? Yuko tayari kupima afya yake? Click to expand... kupima afya yuko tayari alishawah kufanya kaz ispokuwa nje ya nchi hawez hata kidogo
Reyna Senior Member Joined May 19, 2013 Posts 122 Reaction score 28 Mar 25, 2015 Thread starter #8 mama ivan said: Muulize yupo teyar kuja dar pia nipatie namba ya mtu wake wa karib Click to expand... yuko tayari pm namba uongee nae
mama ivan said: Muulize yupo teyar kuja dar pia nipatie namba ya mtu wake wa karib Click to expand... yuko tayari pm namba uongee nae
Reyna Senior Member Joined May 19, 2013 Posts 122 Reaction score 28 Mar 26, 2015 Thread starter #9 Keshapata kazi