Anatafuta kazi za ndani

Anatafuta kazi za ndani

Status
Not open for further replies.

Reyna

Senior Member
Joined
May 19, 2013
Posts
122
Reaction score
28
Kuna msichana anatafuta kazi za ndani na ya kudumu.

Yuko Mwanza na yuko tayari kwenda mkoa wowote Tanzania, Ana miaka 17, elimu std 7 ni Msukuma na dini yake ni Mkristu Mkatoliki.
Keshapata kazi
 
Toa wasifu wake angalau,

Umri, Elimu, Uzoefu, Anataka kufanya kazi muda gani, kabila, dini, na kama ana mahitaji mengine muhimu kama si ya siri.
 
Muulize yupo teyar kuja dar pia nipatie namba ya mtu wake wa karib
 
Kuna msichana anatafuta kazi za ndani yuko Mwanza yuko tayari kwenda mkoa wowote tz

Ana miaka mingapi? Alisha wahi kufanya kazi za ndani kabla? Dini gani? Yuko tayari kusafiri nje ya Tanzania? Yuko tayari kupima afya yake?
 
Yuko tayari mimi ndo mtu wake wa karibu nipm namba yako uongee nae mama Ivan
 
Ana miaka mingapi? Alisha wahi kufanya kazi za ndani kabla? Dini gani? Yuko tayari kusafiri nje ya Tanzania? Yuko tayari kupima afya yake?

kupima afya yuko tayari alishawah kufanya kaz ispokuwa nje ya nchi hawez hata kidogo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom