Anatafuta kazi yoyote

ghetopuzzle

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
440
504
Wakuu habarini
Nina mdogo wangu wa kiume kamaliza chuo july ninaomba kama kuna kazi yoyote around dodoma kama anaeza kufanya hata kama ni ya kufundisha (kwa masomo ya chemistry na biology)au hata masomo yoyote ya shule ya msingi
Nawasilisha
 
Kwann,siku mbili zilizopita wazili si alisema watu waliosoma sayans wapeleke vyeti vyao,ili wapewe kaz ya ualimu,au sikumuelewa waziri ma elimu.
 
Ana mafunzo ya JKT aje Meriwa kulinda nyumba yangu ikiwemo na kumwagilia miti yangu?
 
Wakuu habarini
Nina mdogo wangu wa kiume kamaliza chuo july ninaomba kama kuna kazi yoyote around dodoma kama anaeza kufanya hata kama ni ya kufundisha (kwa masomo ya chemistry na biology)au hata masomo yoyote ya shule ya msingi
Nawasilisha
Amemaliza chuo gani,chuo cha madrasa,chuo kikuu,chuo cha Unesi au kipi hasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom