B Bwojo Member Joined Jul 30, 2015 Posts 16 Reaction score 2 Aug 6, 2015 #1 Nina kijana msichana amemaliza Ualimu wa shule za Msingi. Anatafuta kazi ya kufundisha wakati anasubiri kupangiwa kazi serikalini mwaka kesho.Anaishi Temeke.Nitashukuru wa JF kwa kunisaidia.Asante.
Nina kijana msichana amemaliza Ualimu wa shule za Msingi. Anatafuta kazi ya kufundisha wakati anasubiri kupangiwa kazi serikalini mwaka kesho.Anaishi Temeke.Nitashukuru wa JF kwa kunisaidia.Asante.
C CHIEF JJ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,075 Reaction score 358 Aug 7, 2015 #2 shule ya msingi? mwambie afunguwe tuu mpesa, tigo pesa na airtel money