Anatafuta Kazi ya Ualimu

Anatafuta Kazi ya Ualimu

Bwojo

Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
16
Reaction score
2
Nina kijana msichana amemaliza Ualimu wa shule za Msingi. Anatafuta kazi ya kufundisha wakati anasubiri kupangiwa kazi serikalini mwaka kesho.Anaishi Temeke.Nitashukuru wa JF kwa kunisaidia.Asante.
 
shule ya msingi? mwambie afunguwe tuu mpesa, tigo pesa na airtel money
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom