Anatafuta kazi ya ualimu

Anatafuta kazi ya ualimu

Mapondo Mapoka

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
274
Reaction score
135
Ana bachelor ya education na anatafuta kazi ya ualimu kwenye shule za private ila yuko tayari kusaini mkataba kuanzia miaka 2 nakuendelea. Mwenye taarifa zaidi tuwaailiane.
 
Bado watu wanafikiria kuajiriwa tu?,kweli watu wamekariri.Mwambie a-google shule binafsi inayotafuta mwalimu,ikishindikana hiyo azurure mchana kutwa jua kali na bahasha mkononi.
 
Bado watu wanafikiria kuajiriwa tu?,kweli watu wamekariri.Mwambie a-google shule binafsi inayotafuta mwalimu,ikishindikana hiyo azurure mchana kutwa jua kali na bahasha mkononi.
muongezee mbinu za kujiajiri
 
hayo masomo yote ni degree gani nyie ndo mnatuharibia elimu nyie adi usiyoyajua unaweka tu
 
Kweli bongo noma! Sasa walimu wakimaliza c post zinatoka direct km u dr? Ww n shida??
 
Ana bachelor ya education na anatafuta kazi ya ualimu kwenye shule za private ila yuko tayari kusaini mkataba kuanzia miaka 2 nakuendelea. Mwenye taarifa zaidi tuwaailiane.

Haraka ya nini? Kwa nini asisubiri ajira ya serikali?
Serikalini ndo kwenye job security, private ni full stress, period.
 
yuko mwanza.
Pazuri hapo ka yuko Mwanza anaweza kwenda ktk shule ya secondary ya kiislam ya Thaqafa pale mjini mtaa wa Unguja,ile shule ni kaka zangu wawili ndio wana run pia kuna headmaster wao ni jamaa mmoja toka Uganda ana moyo swafi sana labda ungejaribu kulishughulikia hilo.Mr Murage Msherwampamba.
 
Back
Top Bottom