Natangulisha shukrani za dhat kwenu.
Nina dada yangu miaka 21, anatafuta kazi ya kuuza duka, hivy Ambay atakuwa na uhitaji au kuskia anapohitajika, naomba mtusaidie kwa kutupa hata tarifa Hakika itakuwa ni msaada mkubwa sana.
Hivy unaweza kuni pm au naomba untafte kupitia sim namba 0659086861.
Ahsanteni sana.