Jumaa Mkela
New Member
- Nov 22, 2013
- 3
- 0
Naomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa za ajira za HOTEL MANAGEMENT naomba anisaidie kwa sababu kuna mdogo wangu wa kike anaitwa Ivana anatafuta kazi, ana umri wa miaka 20 na amehitimu ktk chuo kiitwacho WESTERN COLLEGE kilichopo mnazi mmoja tuwaliane kupitia namba 0714882812 au 0765397766 au ivana94@gmail.com, ahsante.