Hizi kazi huwa zinatangazwa sana hajawahi kuomba na wala kuitwa ktk usaili? maana kama alishawahi kuomba na kuitwa ktk usaili na hakuchaguliwa, tena mara nyingi, aanze kuangalia udhaifu wake na ajifunze kwa wale waliofaulu usaili ktk kazi hii. hili nalo ni la muhimu sana jamani,
unakuta mtu anakomaa kutafuta kazi tu na anafanya usaili kila siku lakini lakini hatoki wala haangaiki kujua anakosea wapi, nakala nyingi zinatolewa na watu bure hasa ktk mitandao, mf; jinsi ya kujibu maswali ya usaili, tambua nini ufanye ili kushinda usaili nk. mtu hasomi wala hafuatilii.