JKT mnaenda lini????wana jf je kuna makosa hapo nikiamua kuachana nae?
Siamini huyu naye anatafta ushauri, naona JF mmeifanya kijiwe cha kuwapumbaza akili maana kitu ni very straight forward hiki, hakihitaji ushauri kabisa unless wewe ni mwanaume ambaye utapata tabu sana maishani mwako huko mbele kwa kuendeshwa na wanawake ovyo ovyo, yani hujui right from wrong, truth from lie, right from left, na maisha yako yanaendeshwa na tamthilia sio reality.. Pole sana mtanzania
Simamisha na matumizi madogo madogo mpaka kielweke,
Angalia na wewe usije ukawa daraja, kumbe mtu ana malengo na dushelele nyingine kabisa maishani mwake..
mkuu kumbuka mapenzi ni chanzo cha vifo vingi sana hapa mitaani kwetu!