Habari zenu wadau.
Tunajamaa yetu amekuwa na tabia ya kutongoza tongoza ovyo hangaliaa sura
wala tabia wala mazungira.Kutongoza tongoza kwake watu siyo issue,
issue nikuwa anatangoza wake za watu tunamkanya anaajifanya kasikia.
ila anaendelea tu namchezo wake imefikia hatua mpaka wake wajamaa zake
wakaribu anawapitia.Sasa tulichopanga mda huu nikumtegeshea tu anaswe
ijulikane moja inauma sana mtu unamchukulia mkewe tena jamaa yako.