mjaze mimba kwanza atulie...Wanajamvi naomba mnisaidie nina mchumba nataka kumuoa lkn nagombana kila siku kwa kumkataza kwenda club lakin cha ajab anajigombanisha ili aende disco na pia anakaa karibu na club,sasa sijui nifanye nin ili niweze kumwachisha kwenda club ilhali bado nampenda sana,nisaidien na nahtaj ushaur na kejel kwan yamenikuta mwenzenu.
Wanajamvi naomba mnisaidie nina mchumba nataka kumuoa lkn nagombana kila siku kwa kumkataza kwenda club lakin cha ajab anajigombanisha ili aende disco na pia anakaa karibu na club,sasa sijui nifanye nin ili niweze kumwachisha kwenda club ilhali bado nampenda sana,nisaidien na nahtaj ushaur na kejel kwan yamenikuta mwenzenu.
mjaze mimba kwanza atulie...
baada ya hapo, angalia kama tatizo limeisha ama lah!
akirudia kwenda club, rudia dose kama mara 10 hivi..!
atatulia tu mwenyewe automatically...
Kamwe huwezi mbadilisha kama amechagua kuishi hivyo
MankaM mtu kubadilika inabidi akubali mwenyewe kwanza, anaweza kumpenda ila akabakia na hali yake ya disco.
Tafuta movie inaitwa 35 and kicking, after watching that movie you'll know what to do regarding with your situation.