Ibrahim Mwilapwa
Member
- Feb 7, 2013
- 8
- 1
habari wana jamii forum
kwa jina naitwa ibrahim kama inavooneka,samahani kaka yangu anaomba ushauri kuhusu hili
`wiki moja iliopta hapa kijijin kwetu kuna mtoto alikufa katika mazingira tatanishi,kaka angu anafahamiana na mmoja ya askari upelelezi aliyetumwa kuja kutafuta ukweli wa mauaji hayo!!!!hivyo basi akamuomba kaka angu aweze kumsaidia kuhusu upelelezi huo,bila hiana kaka alikubali na kufanya iyo kazi!!!!
Sasa tatizo ni hapa kisha wajua watu walohusika na tukio je amwambie huyo mpelelezi ukweli?
Kiukweli nafsi inamsuta kuwa ataishije hapa kijijini na pia anawaonea huruma sana hao walomu ua huyo mtoto!!!!!!!!
please anaomba sana ushauri kusu ilo mwanajamii forum.