Ananitesa jamani

Fungua akili..utagundua hakuna penzi hapo.
 
Huyo ameshapata alichokitaka achananae atakupasua kichwa.😱
 

ni tabia mpya iliyojitokeza au alikuwa hivyo toka mwanzo?

anajenga taifa ? anafanya kazi gani?

ni muhimi kujibu hayo kabla ya kukushauri.
 
mapenzi ni lkuigana muige afanyavo.talaka ya hawara haiandikwi dear!!!!!!!!!
 

Huo ndio utaratobu mpya wa kiachana, siku hizi watu hawagombani wala kutukanana ni kimya kimya..
 
Pole sana kamanda ukiona hivyo jua kuna walakini tayari ,hata housegal anapata muda wa kuwasiliana na boyfriend wake acha kupenda kwa moyo tumia akili tu kamanda utateseka sana 'another chance 4 you to choose a young beautiful gal"

Mkuu aliyepost ni mdada
 
sasa anakutesa ama unajitesa mwenyewe??
mbona uchumba sio mahali pa kutesana?? kama hatak kupokea simu yako unajisumbua nini??

teswa na mume/mke nitakwambia vumilia ila mchumba?? tupa kulee anza maisha mengine



Inategemea mama....huyo anasema ni mpenzi wake..inawezekana akawa ni hawara....si unajua hawara anavyouma...mke/mume cha mtoto....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…